Psalms 146:9

9 a Bwana huwalinda wageni
na kuwategemeza yatima na wajane,
lakini hupinga njia za waovu.
Copyright information for SwhNEN